Advertisement

ZILIZOSOMWA SANA

advertisement

Propellerads

Friday, April 29, 2016

Tagged Under:

NIOMBEE LYRICS BY DAR MJOMBA

By: Unknown On: 10:31:00 PM
  • Share This





  • Verse 1.. kwanza ukifika nyumbani we msalimie baba na mama yangu,mimi nipo salama na mungu kwa maisha ndio rafiki yangu.kale kabiashara ka mayai baiskeli yangu iliibiwa ,so unapoona situmi visenti endelea kuniombea...oh safari ni safari mi na yesu mi naamini nitashinda ata kama sina gari haina issue mi na huwakika ntafika
    Oh safari ni safari nina yesu mi naamini ntashinda ata kama sina gari haina issue atanifakisha salamaaa.



                                           
         Chorus..pastor kiuna selina anti mama anji(niombeeni)
    Papa mashoo mama mashoo sedu kibonge(niombeeni)
    Si kwamba nimenyamaza sana ila naomba(niombeeni)
    Uku mjini bado mi nang`ang`ana ila naomba(niombeeni)





    verse 2..Ooh ata mamangu mi najua ata furahi kuniona kwa TV,nilimwambianga ooh mama tulia naongeza bidii,hivi vishawishi vya shetani mbona tena si visikii(ameogopa)ameogopa ama vita ajiskii,ooh safari ni safari nina yesu mi naamini nitshinda ata kama sina gari aina issue nina akika nitafika...
    Ooh safari ni safari mi na yesu mi naamini ntashinda ata kama sina haina issue atanifikisha salamaa
    Ooh we niombee,we niombee,we niombee(niombeeni)*4                          

    0 comments:

    Post a Comment