Advertisement

ZILIZOSOMWA SANA

advertisement

Propellerads

Wednesday, March 9, 2016

Tagged Under: ,

DAR MJOMBA IS THE GOSPEL MUSICIAN TO WATCH

By: Unknown On: 5:46:00 AM
  • Share This


  • MEET DAR MJOMBA THE GOSPEL MUSICIAN TO WATCH

    Hivi sasa: Hello Dar Mjomba. It’s nice to have you here on Hivi Sasa.Our readers would love to know who you are.

     

    Dar Mjomba: Okay niruhusu niongee kwa Kiswahili kwa maana mziki wangu ni wa Kiswahili…Dar Mjomba ni motto wa kwanza kwa familia yA watoto wane.Kwa majina kamili naitwa Collins Shoo.Nafanya mziki kwa mdundo wa chakacha /bongo, na pia ni msanni wa kizazi kipya.

    Hivi Sasa: You are into music full time or part time?


    Dar Mjomba: Niko full time kwenye mziki sababu ndio baba yangu na mama yangu.

    Hivi Sasa: Who has been supporting you tangu uanze?


    Dar Mjomba: Okay…1.nimekua na backup nzuri sana ya mafans wangu
                                        2. Kuna watu walijitolea na kufanikisha mziki wangu. Unarekodiwa na video nzuri niwataje wachache kuna Mose coacher wa metro, Dan Saw designer, Blessed Joe (Crème Vision) na wengine wengi.

    Hivi Sasa: Many people have labeled you as emotional artist. Why are you too emotional on your new song NIOMBEE?


    Dar Mjomba: Okay. Kwanza niombee inaongelea maisha yangu sana…niliandika niombee baada ya watu wengi kuniuliza mbona nayamaza wakati nina uwezo mkubwa kwenye kuimba …kwasababu sikua na pesa za kurekodi na singependa kueleza shida zangu…basi niliwajibu kwa huruma”ninafanya ngoma msijali lakini mniombee”so ikafika time mpaka watu wakanitania tunakuombea bro na ndio maana nikaandika wimbo wa niombee kwa uchungu na hisia sana.

    Hivi Sasa: Mziki wako una ladha wa Tanzania Sana, je waskiza bongo Sana?


    Dar Mjomba: Mi naskiza mziki wote bora uwe na ujumbe m zuri…iwe reggae, we Lingala ama bongo….so siwezi sema naskia bongo sana.

    Hvi Sasa: Msanii yupi Kenya unatamani kufanya Kazi naye?


    Dar Mjomba:Unajua nimefanya ngoma na wasanii wote wakubwa;willy paul,Eko Dyda,MOG na wengine,ila ngoma sijaamua kurelease.Kwa sasa hakuna Yule natamani kufanya naye kazi labda mbele Mungu akituwezesha.

    Hvi Sasa:Nchi za nje unatamani ama unapanga kufanya na nani?


    Dar Mjomba: Tanzania napenda sana Rose Muhando na Christina Shusho.Kwa sasa sina mpango wa kufanya nao kwa sababu bado natengeza brand.Dar Mjomba akijulikana kwote basi, nitapanga jinsi ya kufanya collabo na msanii wa nje.

    Hvi Sasa: Mashabiki wako wanauliza kama una girlfriend.


    Dar Mjomba :(laughters) hiyo sitaongelea Leo

    Hvi Sasa: Duh!unaskiza mziki wa nani sai?


    Dar Mjomba: Naskiza ‘kazi yake’ by Gloria Muliro.

    Hvi Sasa: Una nyimbo ngapi so far?


    Dar Mjomba: Nyimbo tano, wakiorder CD itafikishwa walipo

    Hvi Sasa: Unapenda wanawake ama magari?


    Dar Mjomba: Napenda Yesu, haya ya dunia ni vanity

    Hvi Sasa: Nani alikudiscover?


    Dar Mjomba: Anaitwa Mr Boo, the first producer alifanya mpaka sasa naitwa Dar Mjomba.

    Hivi Sasa: Unajivunia nini kwa mziki wako sasa?


    Dar Mjomba: Nimenunua shamba kubwa maeneo ya western baada ya kufanya wimbo na avril ya organization ilinilipa vizuri…na nalipa nyumba, nakula navaa kwa sababu ya mziki

    Hvi Sasa: Unajiona wapi miaka mitano ijayo?


    Dar Mjomba: Miaka tano ijayo namuomba Mungu Kwa maana yeye ndio anatupa riziki kila siku…najua nitakua na uwezo wa kuwasaidia wanawake wajane wanaoteseka.Dream yangu kubwa ni kusaidia wanawake wajane.Tumeona wasanii wengi wanasaidia yatima but kuna wamama uku nje walipoteza bwana na awanateseka sana.Wengine hata nawajua, na nina mpango mzuri nao

    Hvi Sasa:Neno lako la mwisho kwa mashabiki wako


    Dar Mjomba: nawapenda sana na siku zote nitawapa mziki mzuri na Dar Mjomba hawezipotea..labda kifo kinipoteze,..nawashukuru kwa kunipokea vizuri na ninafanya vizuri kwenye chat na kila corner.Mungu awabariki.



    2 comments:

    1. nice dream DarMjomba Mwenyezi akijaalia,lengo lako litatimia...

      ReplyDelete
    2. When you opt for our Spotify promotion campaign, you’ll ensure that your songs are included in the most influential playlists based on your music genre! Spotify Music Promotion

      ReplyDelete